Kiongozi wa ODM aendelea na ziara yake eneo la Magharibi
Audio By Vocalize
Kiongozi wa ODM Raila Odinga ameendelea na ziara yake katika kaunti ya kakamega kwa siku ya pili hii leo huku mikutano yake ilichelewa kungoa nanga kufuatia mkinzano wa waratibu. hata hivyo alifanya mikutano kadhaa katika eneo bunge la shinyalu na ikolomani kama anavyotuarifu mwanahabari wetu philip murutu mbapo ajenda kuu ilionekana kukosoa utendakazi wa serikali.

Join the Discussion
Share your perspective with the Citizen Digital community.
No comments yet
This discussion is waiting for your voice. Be the first to share your thoughts!