Watu mashuhuri wanaohusishwa na mihadarati watiwa mbaroni Tanzania

Na huko nchini Tanzania vita dhidi ya  mihadarati vimechukua mkondo mpya baada ya washukiwa wakuu kutiwa mbaroni. Miongoni mwa watu waliotajwa kwenye sakata hiyo ni pamoja na mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA Freeman Mbowe.  Mwanahabari wetu Samuel Mwalongo anaarifu zaidi kutoka Tanzania.