Sumu Ya Sigara
Published on: February 03, 2015 10:57 (EAT)
Audio By Vocalize
Wataalamu wa afya wanashauri kuwa njia ya pekee ya kukomesha mwenendo wa uraibu wa kupindukia wa uvutaji sigara ni kuwazuia watu kuanza kuvuta sigara. Kemikali zinazotengeneza sigara ndizo huchangia pakubwa kumfanya mtu kutegemea uvutaji sigara na kushindwa kabisa kujikwamua na uraibu huu. Je, ni vipi mtu anaweza kujikwamua kutokana na uraibu huu ikizingatiwa athari nyingi za uvutaji sigara?


Leave a Comment