Rais Kenyatta apuuza madai ya upinzani

Rais Uhuru Kenyatta anaendeleza ziara yake katika eneo la katikati mwa nchi ambapo amezuru eneo bunge la kieni katika kaunti ya Nyeri ambapo ameshuhudia kuzunduliwa kwa ujenzi wa soko jipya la chaka ambalo litagharimu takriban shilngi bilioni moja pamoja na miradi nyinginezo. Hassan Farah na kina cha taarifa hii…