Nyendo Za Fidel
Published on: January 04, 2015 07:24 (EAT)
Audio By Vocalize
Maafisa wa kitengo cha upelelezi walifurika nyumbani kwake Fidel Odinga mwanawe kiongozi wa CORD Raila Odinga saa chache baada ya kifo chake mapema Jumapili ili kubaini hatua zake za mwisho kabla ya kifo hii Jumapili asubuhi. Duru za kuaminika zikiarifu kuwa fidel alikuwa na marafiki wake wakibugia mvinyo katika mkahawa wa sarabi katika hoteli ya sankara kabla ya kifo chake nyumbani kwake.


Leave a Comment