Mtu mmoja afariki wakati wa maandamano Nandi
Published on: December 06, 2016 09:12 (EAT)
Audio By Vocalize
Mtu mmoja amefariki wakati wa mgomo wa wafanyakazi wa majani chai eneo la nandi hills kaunti ya nandi hapo jana ,umesababisha hasara kubwa baada ya shamba la majani chai kuchomwa moto. Inadaiwa wafanyakazi hawa walitakata nyongeza ya asilimia thelathini ya marupurupu yao,


Leave a Comment