Majeruhi wa maandamano ya NASA wanapata afueni hospitalini
Published on: October 21, 2017 08:23 (EAT)
Waathiriwa wengi wa maandamano ya muungano wa NASA wangali wanauguza majeraha hospitalini. Katika kaunti ya Migori, viongozi Wanawataka Rais Uhuru Kenyatta na mpinzani wake mkuu Raila Odinga wakubali kujadiliana kwa manufaa ya wakenya wote. Mwandishi wetu Kassim Mwalimu Adinasi aliwatembea baadhi ya waathiriwa katika hospitali kimisheni ya Omboo mjini Migori na kuandaa taarifa hii.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment