Majaji ; marudio ya uchaguzi wa urais hayakuhitaji uteuzi upya

Majaji hao walisoma uamuzi wa kina hii leo ambao ulifutilia mbali kesi ya kupinga uchaguzi wa Uhuru Kenyatta kwenye marudio ya uchaguzi

Majaji hao wamesema kuwa kinara wa Nasa Raila Odinga hakujiondoa kwenye uchaguzi kulingana na sheria zilizopo

latest stories