Changamoto Za Walinda Pori
Published on: February 08, 2015 06:01 (EAT)
Audio By Vocalize
Je, walinda pori zetu hukodolewa macho na hatari kwa kiasi kipi? Iwapo ulidhania maisha ni mazuri tu kwa maafisa walinda pori, umenoa kwani kifo huakodolea macho kila mara. Mwanahabari wetu Philip Murutu alizungumza na baadhi ya maafisa hao akiwemo Lucy Nkoe walioponea kifo kwa tundu ya sindano katika makabiliano na wanyama hatari wa porini katika sehemu ya pili na ya mwisho ya makala yetu ya mauti porini na kutuandalia taarifa ifuatayo.


Leave a Comment