Changamoto za kulea mtoto mwenye ugonjwa wa Tawahudi

Mmoja au wawili kati ya kila watoto 1000 wa kiume wanaozaliwa kila mwaka hukumbwa na ugonjwa wa tawahudi unaojulikana kwa kiingereza kama autism. Ugonjwa huo unaathiri uwezo wa kukua na hata mawasiliano . Katika kaunti ya Kwale, hakuna mahala pa matibabu kwa watoto hao. Mwandishi wetu Nicky Gitonga kutoka Kwale anaangazia changamoto za wazazi wa watoto wenye tawahudi .

Tags:

autism cerebral palsy Tawahudi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories