Wanafunzi Wa Mt. Kenya Wazua Rabsha
Published on: March 06, 2015 09:47 (EAT)
Audio By Vocalize
Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu cha Mt Kenya amejeruhiwa kwa kupigwa risasi katika makabiliano baina ya polisi na wanafunzi wa chuo hicho walioandamana mjini Thika, wakilalamikia kuuawa kwa mwanafunzi mmoja jana usiku.Maafisa wa polisi walikuwa na wakati mgumu kukabiliana na wanafunzi hao ambao walisababisha fujo na msongamano wa magari na watu mjini humo. Mwanahabari wetu Sam Gituku na taarifa hiyo.


Leave a Comment