Tume ya NCIC yapinga hoja za kaunti ya Kiambu na Kilifi
Published on: December 19, 2017 08:15 (EAT)
Audio By Vocalize
Hoja za kaunti za Kiambu na Kilifi kuhusu kutoa asilimia sabini ya nafasi za kazi katika taasisi za umma na za kibinafsi kwa wenyeji pekee zimepigwa vita na tume ya utangamano na kutajwa kama ubaguzi ambao ni kinyume na katiba. Mwenyekiti wa NCIC ametishia kwenda mahakamani iwapo kaunti hizo zitapitisha sheria za kuruhusu hayo kufanyika.


Leave a Comment