Siha na Maumbile: Sharubati ya Miwa
Audio By Vocalize
Maeneo mengi ya mijini haikosi wafanya biashara wa miwa wanaouza miwa na wanaouza juice ya miwa. Wengi hununua juisi ya miwa kwa kuwa hufuraia utamu wake. Lakini je umewahi kujiuliza inaumunimu gani katika afya yako? Mwanahamisi hamadi anatueleza kwa kina faida za kutumia miwa haswa inayotayarishwa kama juisi.

Join the Discussion
Share your perspective with the Citizen Digital community.
No comments yet
This discussion is waiting for your voice. Be the first to share your thoughts!