Kiwewe chazidi kuwakumba mawaziri ambao waliachwa nje
Published on: January 16, 2018 08:38 (EAT)
Audio By Vocalize
Siku kumi tangu Rais Kenyatta kutoa majina ya watu tisa ambao ananuia kuwajumuisha kwenye baraza la mawaziri, taifa limebaki kukisia mipango ya rais kuhusu uundaji wa baraza la mawaziri. Haya ni kutokana na majina ya watatu waliotarajiwa kuchunguzwa na bunge wiki jana akukosa kuwasilishwa bungeni hadi sasa, na rais akibana majina ya kumi na watatu waliosalia.


Leave a Comment