Kinara wa PNU Peter Munya ajiunga na NASA
Audio By Vocalize
Aliyekuwa Gavana wa Kaunti ya Meru Peter Munya amehamia muungano wa NASA. Munya ambaye pia ni kigogo wa chama cha PNU amesema hatua yake ya kuungana na upinzani ni kutokana na jinsi uchaguzi ulivyokarabatia kumnyima muhula wa pili wa ugavana. Munya alipokelewa na vinara wa NASA Raila Odinga na Kalonzo Musyoka.

Join the Discussion
Share your perspective with the Citizen Digital community.
No comments yet
This discussion is waiting for your voice. Be the first to share your thoughts!