Kiini cha mauji ya mwanafunzi William bado hakijabainika
Audio By Vocalize
Hapo jana nipashe ilimulika kisa cha mwanafunzi wa kidato cha nne ambaye maiti yake ilipatikana katika shimo la choo katika shule ya upili ya Kakuku kaunti ya Machakos. Katika juhudi za kutaka kupata taswira kamili ya yaliyojiri jumapili hiyo kabla kupotea kwa william, mwanahabari wetu Asasha Elizabeth ametuandalia taarifa hii.

Join the Discussion
Share your perspective with the Citizen Digital community.
No comments yet
This discussion is waiting for your voice. Be the first to share your thoughts!