Gavana Kingi kufika mbele ya tume ya EACC kesho

citizen
By citizen November 24, 2016 09:09 (EAT)
Add as a Preferred Source on Google
Vocalize Pre-Player Loader

Audio By Vocalize

Gavana wa Kilifi Ammerson jefa  kingi hapo kesho anatarajiwa kujiwasilisha  katika tume ya maadili na kupambana na ufisadi kuelezea kuhusu milioni 308 zilivyotumika  mbali na milioni 51 zilizopotea hapo awali.aidha uchunguzi umebaini kwamba  pesa  hizo za umma  zilitumiwa  na watu binafsi.meza ya nipashe imepata stakabadhi inayoelezea jinsi miradi ghushi ilivyotumika kwa ufujaji wa fedha za umma.

Join the Discussion

Share your perspective with the Citizen Digital community.

Moderation applies

Sign In to Publish

No comments yet

This discussion is waiting for your voice. Be the first to share your thoughts!