Wanafunzi wafunga barabara ya Jogoo
Published on: June 14, 2017 09:26 (EAT)
Audio By Vocalize
Usafiri ulikatizwa katika barabara kuu ya Jogoo baada ya wanafunzi wa shule ya msingi ya St Annes kundamana wakilalamikia ongezeko la ajali katika barabara hiyo. Haya yanajiri baada ya mwanamume anayewasaidia wanafunzi hao kuvuka barabara kugongwa na gari hapo jana.


Leave a Comment