Wakazi Wa Nairobi Wanavyoteseka Barabarani
Published on: February 06, 2015 03:26 (EAT)
Audio By Vocalize
Msongamano wa magari jijini Nairobi unazidi kuwa kero kwa wakazi wengi wa Nairobi licha ya serikali kujisatiti katika ujenzi wa barabara za kisasa. Mwanahabari wetu Tom Wanjala anatueleza jinsi hali hii inazidi kuwa mbaya zaidi kila kuchao na maeneo yaliyoathirika na msongamano huu.


Leave a Comment