Serikali kupiga msasa mishahara ya wafanyikazi wake
Published on: November 11, 2016 08:25 (EAT)
Audio By Vocalize
Wafanyakazi wa umma kuanzia Julai mwaka ujao watapokea mishahara kulingana na kazi wanayofanya serikalini. Hii ni baada ya tume ya mishahara nchini SRC kutoa mwongozo mpya utakao tumiwa kuwalipa wafanyikazi wote wa serikali.


Leave a Comment