Seneta Njoroge afikishwa kortini leo
Published on: February 08, 2017 08:08 (EAT)
Audio By Vocalize
Mahakama imemwachilia kwa dhamana Seneta maalumu Paul Njoroge aliyefikishwa kortini kufuatia tukio la jana ambapo alifyatua risasi hewani katika kituo cha petroli mjini Naivasha. Alipomfyatulia risasi afisa mtendaji wa kampuni ya mafuta ya VIVO Polycarp Igathe, katika kituo cha mafuta cha shell kwenye barabara ya Nairobi kwenda Naivasha, Seneta maalumu Paul Njoroge alikuwa mjasiri kama simba.


Leave a Comment