Oxford yaanzisha kamusi ya Kiswahili mtandaoni
Published on: December 08, 2016 10:02 (EAT)
Audio By Vocalize
Shirika la uchapishaji vitabu la Oxford limeanzisha kamusi ya kiswahili kupitia mtandaoni chini ya mpango uitwao Oxford Global Languages kama hatua ya kukuza lugha mbalimbali duniani. katika kamusi hiyo, maneno mengi yenye ubora wa kipekee yatatungwa, yakusanywe na yawekwe wazi katika mtandao kwa watumiaji, wanafunzi na wataalamu…hassan farah na kina cha hii na zinginezo.


Leave a Comment