Mwanafunzi Afariki Chuo Cha Nairobi, Kikuyu
Published on: April 12, 2015 06:18 (EAT)
Audio By Vocalize
Mwanafunzi mmoja amefariki na wengine zaidi ya 170 kujeruhiwa baada ya milipuko iliyosababishwa na nyaya za umeme chini ya ardhi katika mojawapo ya chuo kikuu cha Nairobi iliyoko eneo la Kikuyu. Kisa hicho kilichojiri siku chache baada ya shambuzili la Garissa kiliwatia hofu wanafunzi wengi na walijeruhiwa walipokuwa wakiruka kutoka katika vyumba vya kulala. Mwanahabari wetu Gatete Njoroge ametuandalia taarifa.


Leave a Comment