Mwanabiashara mashuhuri wa Mombasa, TSS afariki dunia

Mfanyibiashara  maarufu Twahir Sheikh Said almaarufu TSS ameaga dunia mapema leo asubuhi.

Mfanyibiashara huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 74 na  alikuwa anapata matibabu katika hospitali ya Milpark mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini.

Familia ya mfanyibiashara huyo tayari imeanza matayarisho ya mazishi na mipango ya kumsafirisha kutoka nchini humo. Duru za karibu na familia ya TSS zinadokeza kuwa mazishi yake huenda yakafanyika hapo kesho.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories