Kenyatta: Wenye Nyumba Duni Kukamatwa
Published on: January 13, 2015 07:51 (EAT)
Audio By Vocalize
Rais Uhuru Kenyatta ameelekeza nyumba ambazo zimejengwa bila kuzingatia kanuni za ujenzi hapa Nairobi kubomolewa mara moja. Rais ambaye amezungumza akiwa ziara ya mitaa duni kadhaa hapa Nairobi, amesema serikali yake kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Nairobi wataanza shughuli ya ukaguzi na kuwa wahusika katika ujenzi wa nyumba zinazobomoka watachukuliwa hatua za kisheria.


Leave a Comment