Wawaniaji wa ugavana na ubunge wawalisha stakabadhi zao
Published on: June 01, 2017 08:59 (EAT)
Audio By Vocalize
Tukigeukia masuala ya uchaguzi mkuu, leo ilikuwa zamu ya wawaniaji wa ugavana na ubunge kuwasilisha vyeti vyao kwa maafisa wa tume ya uchaguzi IEBC, ili kuidhinishwa kugombea. Hata hivyo baadhi yao hawakudhinishwa kwa sababu ya kutotimiza matakwa ya IEBC


Leave a Comment