Watoto 3 wa mwaniaji wa udiwani wapatikana wameuawa mtoni Nzoia
Published on: May 19, 2017 08:49 (EAT)
Audio By Vocalize
Watoto watatu wa mgombea wa kiti cha uwakilishi wa wadi ya Kapsoya kaunti ya Uasin Gishu James Ratemo, wamepatikana wameuawa. Wakati huo huo polisi wanachunguza kifo cha aliyekuwa mwakilishi wa wadi ya Churo Imaya, marehemu Thomas Minito ambaye mwili wake ulipatikana jana ndani ya mto Athi kaunti ya Machakos.


Leave a Comment