Wakulima wataka marafuku ya uagizaji kuku kutoka Uganda izidishwe
Published on: February 10, 2017 08:17 (EAT)
Audio By Vocalize
Wadau katika sekta ya ndege wa kufugwa wametoa wito kwa serikali kutoondoa marufuku iliyowekwa dhidi ya ununuzi wa kuku na mayai kutoka taifa jirani la Uganda. Wadau hao wanahofia uwepo wa chemichemi za homa ya ndege iliyoripotiwa katika taifa hilo mwezi jana. Wanataka marufuku hiyo izidishwe kwa angalau miezi sita ili kutoa hakikisho la usalama kwa wakenya na wafugaji wa ndege kwa jumla.


Leave a Comment