Vinara wa NASA wasema mageuzi ya sheria hayafai
Published on: October 07, 2017 08:28 (EAT)
Audio By Vocalize
Vingozi wa Muungano wa NASA wanasisitiza kuwa hawatashiriki marudio ya uchaguzi wa urais, iwapo mabadiliko wanayopendekeza hususan katika tume ya uchaguzi na mipaka IEBC kabla ya uchaguzi huo hayatatimizwa.


Leave a Comment