Uhuruto wakariri mshikamano wao serikalini
Published on: January 09, 2018 08:10 (EAT)
Audio By Vocalize
Rais Uhuru Kenyatta na naibu rais wameonekana pamoja hadharani kwa mara ya kwanza tangu rais kutangaza majina ya watu tisa ambao anawapendekeza kuwa mawaziri. Rais na naibu rais walihudhuria mazishi ya maaskofu watatu waliofariki kufuatia ajali ya barabarani. Naibu rais aliwataka viongozi na wananchi kuacha kumshinikiza rais na badala yake kumwachia jukumu la kuwachagua mawaziri wake.


Leave a Comment