Sherehe za kuvunja vyama, Bomas na Kasarani
Published on: September 08, 2016 08:51 (EAT)
Audio By Vocalize
Hafla za kuvunjiliwa mbali kwa vyama kumi na moja ambavyo sasa vitaunda chama kipya cha Jubilee zilisheheni mwembwe na tafrija na kila aina huku maelfu ya wajumbe wa vyama hivyo wakikongamana katika kumbi za Bomas na Kasarani jijini Nairobi. Hali ya usalama iliimarishw akwatika kumbi hizo ambazo licha ya shamrashamra, hakukukosa mvutano. Mwanahabari wetu Faiza Maganga na taarifa hiyo


Leave a Comment