Rais aongoza Jubilee Nyanza, Kisumu na kupokewa vyema
Published on: July 12, 2017 09:23 (EAT)
Audio By Vocalize
Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto leo walielekeza kampeni za Jubilee katika kaunti za Homa Bay na Kisumu ambapo walizundua miradi kadhaa ya maendeleo huku wakiwaomba wakazi wawapigie kura. Hata hivyo, viongozi hao wa Jubilee walikumbana na mapokezi mseto walipoingia Homa Bay.


Leave a Comment