Otuoma arejeshewa kiti cha Naibu mwenyekiti, ODM
Published on: September 24, 2016 08:57 (EAT)
Audio By Vocalize
Mbunge wa Funyula Paul Otuoma amerejea katika wadhifa wa naibu mwenyekiti wa chama cha ODM takriban miezi mitatu tangu kujiuzulu kwake kutoka wadhifa huo.Haya yamejiri katika hafla ya mazishi ya aliyekuwa kocha wa klub Ya Gor Mahia James Siang’a, hafla ambayo kinara wa odm raila odinga alihudhuria. Mwanahabari wetu Philip Murutu ana kina cha taarifa hiyo.


Leave a Comment