Mtoto wa miezi 10 apatikana na sindano 14 mwilini
Published on: December 02, 2017 09:09 (EAT)
Audio By Vocalize
Mtazamaji katika kisa cha kustaajabisha mtoto wa miezi kumi anauguza majeraha katika hopsitali ya Thika ya level five baada ya kupatikana na sindano kumi na nne za kushona mwilini. Madaktari walifaullu kuondoa sindano kumi na tatu na kuiacha moja ambayo imedunga mfupa. Aidha hakuna yeyote anayetambua jinsi sindano hizo zilivoingia mwilini mwa mtoto huyo.


Leave a Comment