Maziwa ya mauti
Published on: August 16, 2016 09:52 (EAT)
Audio By Vocalize
Mwanamme mmoja mwenye umri wa makamo anazuiliwa katika gereza la Nakuru GK baada ya kumuua mwanawe mwenye umri wa miaka 6 kutokana na mzozo wa lita moja ya maziwa. Godfrey Muiru pia anadaiwa kumchoma mwanawe mwenye umri wa mwaka mmoja pale mkewe alipodinda kumpa maziwa ambayo yalikuwa yamehifadhiwa watoto hao wawili.


Leave a Comment