Kioja harusini Nyeri
Published on: April 08, 2017 09:12 (EAT)
Audio By Vocalize
Kulikuwa na vioja katika kanisa la Kanyama PCEA eneo la Mathira kaunti ya Nyeri pale mke halali alipozua sarakasi nje ya lango la kanisa hilo akitaka mumewe ambaye anadaiwa alikuwa akifunga ndoa na mke mwengine kuchukua wanawe wawili kabla ya harusi kufanyika.


Leave a Comment