Ajali nyingine yatokea katika eneo la Mwatate
Published on: June 24, 2017 09:19 (EAT)
Audio By Vocalize
Ilikuwa ni majonzi huko Wundanyi wakati jamaa na marafiki walijitokeza kumzika mwanamke mmoja kutoka Mombasa. Lakini la kutia msumari kwenye kidonda, waliokuwa wakisafirisha maiti hapo jana akiwemo mumewe waliangamia kwenye ajali katika barabara ya Voi kwenda Mwatate. Watu watano wa familia moja wakapoteza maisha.


Leave a Comment