Zoezi la kuwatambua wahanga wa moto kuanza kesho

Shughuli ya kutambua maiti ya wanafunzi walioangamia kwenye mkasa wa moto katika shule ya upili ya Moi inatarajiwa kuanza kesho huku wazazi wote waliopoteza wanao watakiwa kufika katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Chiromo.

Saida Swaleh alikutana na familia hizo na kuanda taarifa ifuatayo.