Idadi ya waliofariki Kilimambogo yaongezeka

Idadi ya waliofariki kwenye ajali ya Kilimambogo kwenye barabara ya Thika kuelekea Garisa imepanda na kufikia 18. Hii ni baada ya manusura kadhaa kufariki wakiwa hospitalini. Inaarifiwa kuwa matatu hiyo ilikuwa imeabiri watu ishirini kwa jumla. Saida Swaleh na maelezo zaidi.