Serikali yanoa makali dhidi ya walanguzi wa madawa

Juma moja tu baada ya kusafirishwa kwa ndugu wa akasha na wenzao wawili kuhukumiwa marekani, kwa tuhuma za ulanguzi wa dawa za kulevya, serikali inaonekana kuzidisha makali katika vita dhidi ya mihadarati katika eneo zima la pwani.

na sasa uongozi wa taifa hili unaonekana kukita kambi katika pwani ya kenya wakiahidi kukamata walanguzi wa kuu wa biashara hii wanaodaiwa kuwa wanasiasa mashuhuri nchini
.