NASA yakongamana katika uwanja wa Kamukunji

Kiongozi wa NASA Raila Odinga leo ameongoza viongozi wengine wa upinzani kwenye uwanja wa Kamukunji akiwarai wafuasi wake kumpigia kura hapo tarehe nane mwezi ujao.