Utafiti waonyesha utekaji nyara umekithiri

Utafiti uliofanywa na taasisi ya kufuatilia jina unaonyesha kuwa visa vya utekaji nyara vimekithiri mno katika miezi ya hivi karibuni hususan maeneo ya Kati mwa nchi.
Utafiti huo uliofanyika katika kaunti ishirini, unaashiria unataja maafisa wa usalama miongoni mwa watekaji nyar