Msusi mwenye ulemavu wa macho

Kupoteza uwezo wa kuona kunaweza kumtosa mtu katika kiza cha maisha asijue aanzie wapi amalizie wapi. Lakini japo sio rahisi mtu kurejelea angalau nusu ya hali yake ilivyokuwa, inawezekana, kama wanavyodhihirisha watu wengi wanaopokea ushauri nasaha na mafunzo ya kuwawezesha kujitegemea kimaisha.

latest stories