Ukame wasababisha uhaba wa maji Pokot Magharibi

Uhaba wa maji kwa matumizi ya nyumbani na kwa mifugo wao unazidi kuwahangaisha wenyeji wa kaunti ya Pokot Magharibi. Hali hii inatokana na jinamizi la ukame katika maeneo mengi ya kaunti hiyo. Kama anavyoarifu mwanahabari wetu Collins Shitiabayi hatua hii imewafanya wakazi kuambulia kukamua changarawe.

latest stories