Uchunguzi kuhusu stempu ghushi waanzishwa dhidi ya maafisa wa KRA

Siku mbili baada ya Citizen Nipashe kuangzia oparesheni iliyopelekea kukamatwa kwa wafanyibiashara wa stempu ghushi za halmashauri ya ukusanyaji wa ushuru KRA, uchunguzi dhidi ya maafisa katika halmashauri hiyo umeanzishwa huku washukiwa wakuu waliokamatwa siku hiyo wakitarajiwa kufikishwa mahakamani hapo Alhamisi.

latest stories