Shule ya Walemavu ya Likoni

Kwa Kawaida Watu Wasiokuwa Na Uwezo Wa Kuona Na Walemavu Kwa Jumla Hutegemea Watu Katika Shughuli Zao Kila Siku Maishani Kama Vile Kutembea Na Hata Kwenda Msalani Ambao Huhitaji Watu Kuwaonyesha Wanakoenda Lakini Taswira Ni Tofauti Ambapo Kupitia Mafunzo Maalumu Wakiwa bado Watoto Wachanga Wanaweza Kujitegemea Wenyewe Bila Kutaka Msaada Kutoka Kwa Watu Wazima. Mwanahabari Wetu Nicky Gitonga Alizuru Shule Ya Msingi ya The Salvation Army School For The Blind Likoni na anatuandalia taarifa ifuatayo.