Polisi wa trafiki wafumaniwa wakila mlungula barabarani

Maafisa watatu wa trafiki wamekamatwa hii leo na tume ya maadili na kupambana na ufisadi, kufuatia picha za kamera zilizowaonyesha wakipokea hongo kutoka kwa watu waliokuwa na lori tarehe kumi na sita mwezi uliopita.

latest stories