Madhila ya wanawake kujifungua hospitalini Kenyatta

Mgomo wa wauguzi ukiwa umeendelea kwa ziaidi ya miezi miwili na kusahaulika na wengi huku hali ya afya nchini inazidi kuzorota. Ziara katika hospitali ya rufaa ya Kenyatta inaonyesha jinsi kina mama wajawazito wanalazimika kutumia kitanda kimoja. Saida swaleh na taarifa hiyo ya kutamausha.