Hospitali za binafsi zadinda kuchukua kadi za NHIF

Baadhi ya wagonjwa wanaogharamia matibabu kwa kutumia kadi ya  bima ya matibabu maarufu kama NHIF wanalalama sasa wanahitajika kulipa pesa taslimu kwa sababu NHIF haijalipa hospitali husika.  NHIF kwa upande wake wanasema wanafanya mikakati ya kuhakikisha kwamba mradi huo hautumiwi vibaya na walaghai. Faiza Maganga anatupasha.