Wakazi walalamikia ukosefu wa vyumba vya kuhifadhi maiti

Wakazi walalamikia ukosefu wa vyumba vya kuhifadhi maiti

  • Ni jambo ambalo lina gharama kubwa kwao
  • Wakazi hao wanomba serikali iwezekuingilia kati na kuitatua shida hii
  • Wakazi wanasema kwamba wanalazimika kusafiri kilomita kadhaa hadi Malindi au Kilifi kutafuta vyumba vya kuhifadhi wapendwa wao wanapoaga.


Wakazi katika kijiji cha Ngao Kaunti ndogo ya Tana Delta wanaendelea kulalamikia ukosefu wa vyumba vya kuhifadhi maiti kaunti ya Tana River.

Kulingana na wakazi hao, wanalazimika kuhifadhi miili ya wapendwa wao mjini Malindi, Kilifi au hata Mombasa, jambo ambalo lina gharama kubwa kwao.